Salamu wandugu.
Nimeombwa na marafiki ambao wanatafuta kuwekeza kwenye innovation/incubation of ideas and local product development. For artist, technologists, engineers, application developers, etc.
The Idea ni kuwa na sehemu ambayo itawapa fursa like-minded people kubadilishana mawazo na...