entertainment

  1. V

    Wanahitajika Watangazaji wa Entertainment Kwenye YouTube

    Habari wanaJamiiForums, Nisizunguke sana. Ni kama tanagzo linavyojieleza. Wanahitajika vijana wawili ambao wana uwezo mzuri sana wa kuchambua habari za burudani (Gossip), matukio nk. Ambae anaweza kufanya kazi akiwa nyumbani. Kuna youtube channel ambayo imenza kupokea matangazo na tayari...
  2. Halaand sio binadamu, ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi

    Erling Haaland ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi. ➜ 69 - Games. ➜ 70 - Goals scored. Ni wachezaji wawili pekee kwenye historia waliofunga Hat-tricks back to back mara mbili katika ligi kuu ya England (EPL) 🙌 Harry Kane : ⚽⚽⚽ vs Burnley...
  3. Mbeya yaja na Big 20

    BIG 20 Hii ni project/movement iliyoanzishwa na media personalities pamoja na wadau wa Muziki jijini Mbeya lengo kuu ikiwa ni kuhakikisha kuwa Muziki na wanamuziki wa mkoa wa Mbeya wanapata jukwaa huru na la uhakika katika kufanya kazi zao. Wakiongea na jukwaa hili waratibu wa movement hii...
  4. The Power of Movies: From Entertainment to Emotional Exploration.

    Movies aren't just fun; they can be powerful tools for understanding and managing our emotions. We all know how a sad film can bring on tears or a comedy can lift our spirits. But what if movies could be used to delve deeper, to explore and process difficult emotions in a safe space? A photo...
  5. Kocha Mamelodi: Hatustahili tunachokipata kwa mashabiki

    Kuelekea mechi dhidi ya Yanga SC "Kwa aina yetu ya uchezaji tunastahili kupata sapoti kubwa kuliko tunayopata. Msimu uliopita tulishinda Ubingwa wa ligi lakini uwanja ulikuwa mtupu. "Tunahitaji kelele zaidi, watu wengi zaidi kwenye siti (Uwanjani) na kwa kweli nafikiri tunastahili kwa sababu...
  6. Kocha Al Ahly: Tutacheza tofauti na tulivyocheza Tanzania

    "Kushinda ugenini imewapa hali ya kujiamini wachezaji wangu, nimewaambia Mchezo bado haujaisha tunapaswa kucheza kana kwamba hatujashinda ugenini. Tunapaswa kufunga magoli mapema. Tutacheza kwa mpango tofauti na ule tuliocheza Tanzania" Marcel Koller Kocha wa klabu ya Al-Ahly "Nilifurahishwa...
  7. Tungo: Nipeni ushauri, mke gani nichague

    Naombeni ushauri, mke gani nichague! Niangalie uzuri, mtaani wanijue? Au anaeweza shughuli, kitandani nitulie. Au alietulia tuli, pekeangu nitanue. Ebu nipeni ushauri, leo hii nijue. Nichukue mwenye tako au mwembamba anatosha. Nichague mwenye cheko, anaeweza kunikosha. Au nichukue mnoko...
  8. Withdrawal service outage resolved

    Dear Pigabet Customers, We regret the inconvenience that had been caused to you during our upgrades for the past week. However, we would like to inform you that withdrawals through Tigo, Vodacom and Airtel mobile operators are back. Pigabet wants to assure each one of you that your funds are...
  9. SoC02 Mtandao

    Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu. Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam. Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi wako wanaokushauri kila siku, umesahau juzi ulikuwa una-gugo sifa za mpenzi bora? Ni mimi huyuhuyu...
  10. Malak Phainzzy/Blenderz Entertainment

    Let's look up on this talented artist"Veeboiski " Let's see what's he ghat In joining our record deal He dropped "slowly" in few days back, produced by blenderz
  11. Familia ya Diamond ilivyotawala entertainment industry ya bongo

    Pengine kwa wengine inaweza kuonekana familia ya ajabu au familia iliyokosa maadili mema ya kitanzania. Kwa lugha rahisi ni typical familia ya kiswahili. Lakini kwa watu walio kwenye industry ya burudani haswa media wanajua ukubwa wa hii familia kwa sasa. Content yao ni mali kama Almasi...
  12. Mapenzi si umri

    Kyij
  13. Mapenzi miaka ya 90

    Kkk
  14. Mke anapokua kitandani

    Ghj
  15. Nataka demu mpole

    Ok
  16. Siku ya kwanza ukiimsubiri demu mliojuana mitandaoni.

    Ok
  17. Mke wa pekeako

    Iij
  18. Wasafi TV ni Bora sana kuliko TV nyingi za entertainment

    Nimekua mara moja moja nikitazama hii TV, jambomoja nililogundua ni kwamba Naseeb hafanyi mambo ya kubahatisha akifanya kitu anafanya kweli. Wasafi TV kuanzia muonekano wa picha, vipindi vyao vinavyotengenezwa, wako vizrui compared na TV kama clouds iliyokuwepo kabla yao. Mimi nimekuwa mpenzi...
  19. Je, wasanii wa muziki wamekubaliana na uharamia (piracy) katika kazi zao?

    Uharamia (piracy) sio jambo jipya katika sanaa nchini, lilichangia kuanguka kwa BONGO MOVIE hasa baada ya mapato kupungua leo wasanii wamebaki kulaumu foreign films, TV shows and series wakati ukweli wanaujua dhahiri. Now jinamizi hili limeshika hatamu katika upande wa Bongo fleva, tangu...
  20. B Dozen conflict of interest

    Habari comrades. Conflict of interest ni tukio ambolo taasisi ya jamii inapotumiwa kwa manufaa binafsi ya mwajiriwa wake. Kwenye hii mada taasisi ya jamii nayolenga ni kituo cha Radio Clouds FM na mwajiriwa wake anayeleta shida ni B Dozen al maruufu B Twangala, Hamisi Mandi na mengineyo. Hichi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…