Habari za kuaminika zinadai kuwa Kiongozi Mkuu wa Libya Muammar Gaddafi amekalia kuti kavu, habari zinasema kuwa hali iliyofikia hairudi tena nyuma, nae atakurupushwa na kung'olewa kama shina la muhogo, kuna brigedi za kijeshi ambazo tayari zimeungana na wananchi, wazalendo wanasema wamefikia...