Wakuu kuna jambo haliko sawa na tutakumbuka shuka tukiwa tumechelewa. Wawekezaji wote wanaokuja hapa huwa wanapambwa sana na wanasiasa mwisho wa siku tunaibiwa kizembe. Kipindi cha EPA mpaka viongozi wa dini walihongwa, hivyo tusidanganyike kizembe.
Tafadhali Mh Raisi, kwenye hili la...
Kwako mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu Hassan tunakuomba sasa ufufue ule mjadala wa nchi kujiunga kwa mkataba wa EPA.
Binafsi naona hakukua na mjadala mpana na wenye tija juu ya nchi kuridhia au kutoridhia zaidi sana naona tuliongozwa na ushabiki kuliko facts.
Ni vizuri sasa tufanye review ya...
Serikali ya Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya Umoja huo na Tanzania.
Akiongea wakati wa kikao cha wataalamu kutoka Tanzania na EU kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Uwekezaji...
Nadhani kwa leo tuishi humu 👇🏽
WHY THE EPA IS NOT BENEFICIAL TO TANZANIA
This article was published in The Daily News of Tanzania on 28 July 2016. In the article, the former Tanzanian President presents his views on why the Economic Partnership Agreement (which the European Union has been...
Utangulizi:
Mkataba wa Mashirikiano/Muungano wa Kiuchumi (European Partnership Agreement-EPA) ni makubaliano ya kiuchumi yanayolenga kuunda eneo huru la biashara (Free Trade Area) kati ya nchi za umoja wa Ulaya (EU) na mataifa ya Afrika.
Makubaliano haya yanajadiliwa na kuingiwa kupitia...
Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imekanusha suala linaloendelea mtandaoni kuwa serikali imepitisha Economic Partnership Agreement(EPA) ambayo imetajwa na wasomi wengi kuwa itasababisha Tanzania kupoteza mapato yanayotokana na Importations kwa takribani 71% in the long run
Wizara imesema...
Ile Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit.
EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na Nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda.
Tanzania walipinga...
Tunaimbiwa mapambio mazuri kila siku kwa sababu ya Tozo.
Tozo inajenga madarasa
Tozo inajenga vituo vya afya
Tozo sijui inajenga barabara
Tozo imeleta sijui vitu kedekede
Wakati huo huo tunakopa mabilioni na mabilioni kutoka taaisisi mbalimbali za fedha.
Sasa hayo madarasa yanajengwa na...
Naona sasa viongozi wa chama dume CCM mmesahau kilichotokea mwaka 2011 ambapo CCM ilijinasibu kujivua gamba.
Ccm ilijinasibu kujivua gamba kwa kuwa ilikuwa imechafuka kwa ufisadi na mafisadi wengi waliokuwa wanaliibia taifa letu walikuwa ni viongozi wa Ccm.
Mmoja wa watu waliosadikiwa kuwa...
Jinai na jinai tu bila kujali imefanywa na nani maana hakuna alie juu ya sheria.
Kwa msingi huo,kama tumeamua kuadhibu watumishi hawa zaidi ya 9000 kwa kosa la kutumia vyeti feki,ni kwanini mafisadi wa EPA, RICHMOND ,KAGODA,MEREMETA,KIVUKO KIBOVU,n.k nao wasiwajibishwe japo kwa kutakiwa...
Date::8/28/2008
CUF waisakama serikali kuhusu Richmond, EPA, rada, ufisadi .....
Kizitto Noya na Saa Mohamed
Mwananchi
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekosa maadili ya uongozi kutokana na kutowachukulia hatua za...
Tunajadili Bajeti: Lakini wanasiasa wanayajua haya?
Na Charles Kayoka
Mwananchi
WAKATI huu tunapoijadili bajeti sijui kama wanasiasa na watunga sera wetu wanalijua hili ninaloandika hii leo. Nilikuwa ziarani mkoani Rukwa hivi karibuni kwa ajili ya kujadiliana na waaandishi wa habari wenzangu...
Posted Date::6/16/2008
NEC yazika mzimu wa Richmond
*Baadhi ya wabunge watetea watuhumiwa rasmi
*Wataka mijadala ya EPA, Richmond iwekwe kando
* Wengine wataka wachukuliwe hatuza zaidi
*Kikwete awaruhusu kuikosoa serikali kwa hoja
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Mwananchi
KUNDI la wabunge na...
Parliament to discuss EPA, Richmond -Speaker
2008-06-01 10:45:11
By Staff Reporter
The Speaker of the National Assembly, Samuel Sitta, said yesterday the coming budget session of the Union Parliament will discuss the External Arrears Payment Account and the Richmond power contract scandals...
Who is this guy? Why did he do this & under what capacity? Is he the "de-facto spokesperson" for Tanzanians living in the US? Aliwakusanya akina nani na kukusanya maoni yao halafu baadaye kuyapeleka uko Mwananchi? Anafanya kazi ubalozini?
Mimi naichukulia hii kitu kama ni "kujikweza kusiko na...
Richmond, EPA kuibukia Butiama
Mwandishi Wetu Machi 12, 2008
Raia Mwema
Azimio la Butiama kuitikisa CCM
Wahusika wadaiwa kuanza kutoa rushwa
UAMUZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kupeleka vikao vyake vya juu vya Kamati Kuu yake (CCM) na kile cha Halmashauri Kuu (NEC) kijijini Butiama, una...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.