Hello JamiiForums, ni Kainetics hapa ivi. Kwenye thread hii fupi nitaongelea mambo ambayo ukiyazingatia, basi itakua ngumu sana Kutapeliwa mtandaoni kwa namna yeyote ile.
Mtandao ni sehemu kubwa na pana sana, penye muingiliano wa watu wa kila aina. Kama kuna watu wema na wenye nia nzuri, iko...