equity bank

Equity Bank Uganda Limited (EBUL), is a commercial bank in Uganda. It is licensed by the Bank of Uganda, the central bank and national banking regulator. EBUL is a subsidiary of Equity Group Holdings Limited, a financial services conglomerate with headquarters in Kenya and subsidiaries in six countries of the African Great Lakes Region.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    EQUITY Bank unafungua account na kupewa ATM Card ndani ya dakika 10 , Crdb na Nmb wameboresha huduma zao ?

    Ninahitaji kuongeza account kati ya benki hizo mbili Crdb na Nmb. Nakumbuka hapo zamani Crdb na Nmb process zilikuwa ndefu sana wiki 1 hadi 2 Mambo yamebadilika ????
  2. and 300

    Makato Equity bank ni wizi wa wazi

    Kununua bidhaa online au Kutoa pesa Kwa Kadi ya ATM Equity utajuta kuwajua nilitoa pesa kwa visa Sydney, Australia naona makato yamekuja 110,000 TSH. NB: Eeh ndugu usijaribu kutumia Kadi pendwa toka Equity bank
  3. Black Butterfly

    State Oil yakubali kuilipa Equity Bank Tsh. Bilioni 47 za Mkopo uliokuwa unabishaniwa

    Hatimaye Kampuni ya State Oil Tanzania Limited imekubali yaishe mahakamani kuhusu malipo ya mkopo wa Dola 18.64 milioni za Marekani (Sh47 bilioni) za Benki za Equity, Equity Bank Tanzania Limited (EBT) na Equity Bank Kenya (EBK) uliokuwa unabishaniwa. Hii inatokana na uamuzi wa kampuni hiyo...
  4. Jamii Opportunities

    Relationship Manager – Chinese Desk at Equity Bank June, 2024

    Position: Relationship Manager – Chinese Desk Location: Dar-es-Salaam, Tanzania Department: Commercial Department Reports To: Senior Manager corporate Banking Job Overview: The Relationship Manager for the Chinese Desk will manage and grow a portfolio of clients of Chinese origin or/and...
  5. Jamii Opportunities

    Relationship Manager – Indian Desk at Equity Bank June, 2024

    Position: Relationship Manager – Indian Desk at Equity Bank June, 2024 Location: Dar-es-Salaam, Tanzania Department: Commercial Department Reports To: Senior Manager Corporate Banking Key Responsibilities: Client Management: Develop and maintain strong relationships with existing and...
  6. M

    Mambo yafichuka ndani ya Equity Bank, mmiliki wa gazeti la Jamvi la Habari alipewa tender na swahiba wake Zenda

    Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala, Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi Daniel ZENDA naye alipewa na Dada yake wa Damu, Story ya Dada yake itakuja soon, hivyo Daniel ZENDA alimpa tender...
  7. D

    KCB na Equity Bank wanafanya biashara na BoT?

    Kwa nini mikopo chechefu? mikopo chechefu inaanzaje anzaje, inaanzia kwa nani hadi iitwe chechefu. Tutafakari tusaidie taifa? Mabenki yamekuwa yanatangaza faida kubwa kuwa wamevuka lengo kumbe ni sanaa, haki za wafanyabishara zipatikane wapi? Debt collector ndo maelekezo yako hayo.(faida...
  8. Jamii Opportunities

    Data Protection Officer at Equity Bank February, 2024

    Position: Data Protection Officer Department/ Division: Compliance Job Grade: Assistant Manager Reports to: Head of Compliance Job Responsibilities/ Accountabilities: Implementing measures and a privacy governance framework to manage data handling and use in compliance with all the relevant...
  9. luangalila

    Kati ya Equity Bank na Exim Bank nani ana afadhali katika huduma na makato?

    Wadau kwema, Nimekuwa nikitumia bank moja hivi sitoitaja jina lake, lakini nimechoshwa na makato yake ya ajabu ajabu. Sasa nimefikia maamuzi ya kubadili mtoa huduma. Je, kati ya hizo bank mbili yaani Equity na Exim ni yupi ana huduma nzuri in terms of makato madogo, zero maintain fee...
  10. Dit000

    Nafasi ya Kazi Equity Bank

  11. F

    Tetesi: Benki ya Equity inatoa siri za wateja Tanzania

    Maoifisa wa benki ya Equity Tanzania wanadaiwa kutoa siri za wateja kuhusu kiwango cha pesa walichonacho kwenye akaunti zao. Hili ni kosa kwa mujibu wa sheria ya Benki Kuu ya Tanzania(BoT) lakini ni hatari kwa usalama wa akaunti za wateja na usalama wa maisha yao Hii imetokea hivi karibu Moshi...
  12. Tony254

    Britam imeuza 6.7% ya hisa inayomiliki ya Equity bank kwa IFC ambayo ni taasisi ya World Bank na kupokea ksh 13 billion.

    Ukiona World Bank wananunua hisa za Equity bank ujuwe kwamba wao wameona Equity bank ina future nzuri. Britam insurance ilinunua shares za Equity zamani sana wakati bado Equity ilikuwa kampuni ndogo. Britam imeuza 6.7% ya shares ya Equity kwa IFC ambayo ni taasisi ya World Bank na kulipwa ksh 13...
  13. Tony254

    Equity Bank inasema kwamba inatengeneza faida kubwa sana huko DR Congo

    Wabongo ambao hawaelewi structure ya uchumi wa Kenya someni hii article. Uchumi wa Kenya upo built around services industry hususan banks. Benki za Kenya ndio benki kubwa ukanda wote huu na ndio zinazoservice companies ukanda huu. Equity sasa hivi ni the second biggest bank in DR Congo na...
  14. M

    Isabel Maganga ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Equity Bank Tanzania; afuata nyayo za Ruth Zaipuna wa NMB

    Equity Bank Tanzania names new boss Ms Isabel Maganga Equity Tanzania's new boss Equity Bank Tanzania has announced the appointment of Ms Isabel Maganga (pictured) as the new managing director in an acting capacity effective December 23, 2021. She is a career banker with over fifteen years...
  15. Tony254

    Equity Bank is one of the most digitalized banks not just in Africa but in the whole world.

    Hii benki imejikita kabisa katika mambo ya teknolojia. Transactions zao nyingi saa hii zinafanyiwa nje ya majumba ya benki ( nje ya banking halls). Wanafanya transactions nyingi kutumia mobile apps na other digital technologies. Yaani ni benki chache sana duniani zimeweza kudigitalize kiasi cha...
  16. MK254

    Benki ya Equity yazidi kupata faida

    Equity Group Holdings Plc. has rebounded to their pre-Covid-19 period performance with a 64 percent jump in net profit for the three months to March 31. This was buoyed by significant growth in non-interest income and reduction in loan loss provisions with regional subsidiaries, apart from...
Back
Top Bottom