Bodi ya Wahandisi inakera sana, inachelewesha vyeti kwa makusudi, mtu amekamilisha kila takwa la registration, lakini unakuta hadi miezi 3 hadi 6 cheti bado hakijachapishwa.
Ukiuliza unaambiwa bado kipo kwenye mchakato, sasa unajiuliza mchakato gani maana Mhandisi hadi ameapishwa, cheti...