Beki huyo wa kati ambaye msimu uliopita aliitumikia Marseille ya Ufaransa kwa mkopo, amekamilisha mchakato wa kutua Besiktas ya Uturuki baada ya kukosa nafasi chini ya Kocha Erik ten Hag.
Bailly ambaye alisajiliwa Mwaka 2016 chini ya utawala wa Kocha Jose Mourinho akitokea Villarreal amecheza...