Eric Crumble (amezaliwa Disemba 10, 1966) ni bondia wa zamani wa Marekani, na akiwa ni mmoja wa mabondia maarufu kwa kupigwa mapambano 31 kwa mtindo wa KO.
Tangu acheze kwa mara ya kwanza mnamo Juni 22, 1990, Crumble ameshiriki katika mapambano 32 na amepoteza mapambano yote isipokuwa pambano...