Rais alipomteua Eric Hamissi April 2021 alimweleza ufisadi wa Bandarini akamuagiza achukue hatua!
Mwezi Disemba 2021 Rais alivunja Bodi ya TPA akatoa nasaha tena za ufisadi pale! Watu wanachezea mfumo, mizigo inaonekana imelipiwa getini kumbe imepita free na nchi inakosa kodi! Akamwambia...