Kwa wiki sasa nimekuwa ninasikiliza historia za viongozi madikteta Afrika. Nimesikiliza jinsi walivyoua na kunyanganya uhuru wa watu. Nimesikiliza kuhusu Samuel Doe, Iddi Amin Dada, Mobutu na madikteta wengi sana. Kwa kweli roho imeniuma sana viongozi wanaoaminika na kupewa madaraka na badala...
Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake ambaye kwa sasa ni Rais wetu. Naomba isiwe kweli kabisa.
Yaani mwendazake alivaa pajama ili...
Katika kitabu chake cha In the Name of the President, Ndugu Eric Kabendera ameonyesha kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa COVID-19.
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Magufuli masharti ya watalaam wa afya kutaka watu kujikinga na maambukizi kama kuvaa barakoa yalikuwa hayazingatiwi hasa katika...
Mpo Salama!
Watanzania wengi wametoka na kulelewa kwenye jamii nyingi zinazomini na kufundisha kuwa MKUBWA HAKOSEI.
Watanzania wengi wanaamini ukishakuwa Mzazi wewe tayari ni Mungu hivyo hukosei na hupaswi kuambiwa umekosea.
Watanzania wengi wanaamini ukishakuwa kiongozi Mkubwa labda Rais...
Ukienda hospital ukiwa unachemka na kichwa kinauma ukiambiwa una malaria unapata relief shida imeonekana.
Ukienda kwa Mganga umefiwa mtoto mkawa mnamuhisi jirani na mganga akawaambia yule jirani asiye na mtoto ndiye kamuondoa mnapata nguvu mbaya wenu kajulikana.
Kitabu cha IN THE NAME OF THE...
Kitabu cha Eric Kabendera kisizuiwe acha kiuzwe Ili Wananchi wapate ufahamu wa aina ya Waandishi wa Habari wa Tanzania
Hiyo story ya Magufuli kumpiga Risasi ya kichwa Ben ofisini ni story zilizotumiwa Mbeya wakati Ujambazi wa akina Jombi, Luhambati na Kipagati ukitikisa hadi Zambia na Malawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.