eric omondi

Eric Omondi (born 9 March 1983) is a Kenyan comedian and actor. He made his comedy debut in Churchill Show, a comedy show that airs on NTV in 2008. He has since won three African Entertainment Awards USA for 'Best Comedian' in 2018, 2019 and 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Diamond Platnumz ampa ushauri Eric Omondi juu ya chuki wanayoieneza kwa wasanii wa Tanzania

    Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake. Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe. Diamond is so genius
  2. Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa na Polisi katika maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha 2024

    Mchekeshaji na Mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita nje ya Bunge la Kitaifa, akipinga mswada wa fedha 2024 ulioshuhudia maandamano makubwa jana. Omondi alifika nje ya geti la Bunge la Kitaifa akiwa amepanda farasi, kuiga maafisa wa polisi waliokuwa wakipiga doria kati...
  3. Eric Omondi mmoja ni sawa na wasanii wa bongo 200

    Msanii wa Kenya Eric Omond ni zaidi ya WASANII wote wa hapa bongo. OMONDI amejawa na weledi na kujiamini mno hivyo kutokuwa mpiga zumari. Ebu sikilizeni anavyo pinga msaada wa fedha unaotarajiwa kupitishwa na serikali ya Kenya. Kumbuka kuwa OMONDI Alisha wahi kukamatwa na kuwekwa lupango na...
  4. Wasanii wa Tanzania wanapaswa kujifunza kitu kwa Eric Omondi, sio lazima kujipendekeza kwa Serikali ili maisha yako yaende

    Msanii wa Comedy kutoka Kenya, amekuwa akifanya vitu ambavyo kikawaida tumezoea kuona vikifanywa na wanasiasa kwa lengo la kutafuta huruma za wananchi waje kumpigia kura wakati wa uchaguzi. Ingawa pia, inaweza kuwa ni pia mipango ya Erico, you never know. Lakini kitendo cha kufanya tu hivyo...
  5. "Sitaacha!" Eric Omondi anasema baada ya kuachiwa kutoka kizuizini na polisi

    Mchekeshaji Eric Omondi amesema kwamba kuachiwa kwake kulihakikishwa na mfanyabiashara Gor Semelang'o, ambaye alimdhamini kituo cha polisi. Mchekeshaji Eric Omondi ameachiliwa kutoka Kituo cha Polisi cha Central Nairobi ambapo alikuwa amezuiliwa baada ya kukamatwa Jumatatu alasiri. Omondi...
  6. Mchekeshaji Eric Omondi akamatwa barabara ya Ikulu akiwa na Mkokoteni uliojaa CV za Wakenya

    Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa kwenye barabara ya kuelekea Ikulu ya Nairobi akivuta mkokoteni uliojaa masanduku yenye CV za maelfu ya Wakenya wasio na kazi. Erick alidai kuwa alikuwa alizipeleka CV hizo Ikulu kwa Rais. Ikumbukwe Rais William Ruto hayupo nchini yupo ziarani Ujerumani.
  7. Erick Omond akamatwa na polisi akiandamana

    Mcheshi Eric Omondi amekamatwa akiongoza maandamano nje ya majengo ya Bunge jijini Nairobi. Omondi alikuwa akiongoza kundi la vijana waliojengeka vizuri, watanashati katika maandamano, ambapo waliitaka Serikali kushusha gharama za maisha. Vijana waliovalia kaptura nyeusi na vifua wazi walikuwa...
  8. Eric Omondi apigwa na Polisi baada ya kuongoza maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha

    MY TAKE; Hii ndiyo nchi inayosema kuna uhuru wa kujieleza[emoji23][emoji23][emoji23]
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…