Wakuu
Serikali imemaliza tatizo la maji katika Kijiji cha Buswelu, Kata ya Nyanzande, Jimbo la Buchosa, kwa kujenga kisima kirefu kinachotumia nishati ya jua kusambaza maji kwa wananchi.
Ahadi ya kutatua changamoto hiyo ilikuwa miongoni mwa ahadi za Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, kwa...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameendelea na zoezi la kutoa mitaji kwa akina mama wa Jimbo la Buchosa, ambapo leo alitoa shilingi milioni 2 kwa akina mama wa Kata ya Kalebezo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
"Ninayo kila sababu ya kuishukuru serikali kwa namna inavyowatumikia wananchi wake. Ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jimbo la Buchosa peke yake mimi kama mbunge nimepokea bilioni 63 za maendeleo, tumejenga barabara, tumejenga vituo vya afya vitano tumejenga sekondari...
"Tanzania ni nchi tajiri sana,Tanzania kwa gesi asilia duniani ni nchi ya 82, Tanzania duniani kwa makaa ya mawe ni nchi ya 50 kwa dhahabu ni nchi ya 22, kwa almasi ni nchi ya 10 kwa helium gesi ni nchi ya kwanza kwa madini ya Tanzanite, ni nchi ya kwanza kwa utalii ni nchi ya pili inaifuata...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana.
Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa kuitaka Tanzania ijitegemee kwa kutumia rasilimali zake ilizojaliwa.
Shigongo...
Eric Shigongo amemshauri Rais wa Marekani, Donald Trump kusitisha uamuzi wake wa kuzuia misaada kwa nchi za Afrika, kwa sababu akifanya hivyo Waafrika wengi watapoteza maisha.
Akiwa nchini Marekani kikazi, Shigongo amesema misaada ya Marekani kwa nchi za Kiafrika, inasaidia kwa kiasi kikubwa...
Wakuu,
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunga kampeni za wagombea wa serikali za vijiji kwenye Kijiji cha Kanyala, Kata ya Bulyaheke na kuwaomba wananchi kuchagua viongozi wanaotokana na CCM ili iwe rahisi wananchi kupata maendeleo.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanya kampeni ya kupita nyumba kwa nyumba katika Kata ya Irenza, Buchosa kuomba kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba 27, 2024 nchi nzima.
Soma pia: Shigongo: CCM ndiyo chama cha kuleta maendeleo Tanzania, Vijana wa...
Wakuu,
Vijana hawa waelewa na wenye akili ndio akina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na ChoiceVariable? :BearLaugh: :BearLaugh:
====
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Erick Shigongo amesema kwa kipindi cha miaka mitatu watu 36 wamepoteza maisha kwa kuliwa na mamba katika Ziwa Victoria ni idadi kubwa ya watu kuwapoteza.
Aidha Shigongo amesema kama wakiweza kuokoa maisha ya mtu mmoja ni faida kubwa sana kwa Taifa letu. Licha...
Mbunge wa Buchosa, Eric James Shigongo amesema “Kuna hali mbaya sana kwenye Vyombo vya Habari labda kama Serikali imeamua vife ili wafanye mambo yao sawasawa, hakuna maendeleo bila Vyombo vya Habari.”
Ameyasema hayo wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na...
Mi na ishauri serikal hasa kwenye sekta ya elimu maana ndio chimbuko la kila wadhifa elimu ya sekondari iwekwe mafunzo ya udereva ili pindi mtu anapo maliza kidato cha nne anakuwa tayari anayo leseni hii itasaidia swala la ukosefu wa ajira mitaani maana mtu anaweza akakosa cheti cha kidato cha...
Kuna kila sababu kwa Chama cha Mapinduzi kujitokeza hadharani kulaani ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma uliotawala katika Halmashauri karibu zote hapa nchini ambapo miradi mingi imesimama hasa ya Vituo vya Afya na Sekondari Mpya.
Mbunge wa Buchosa, Erick Shigongo amesema kwenye jimbo...
Zaidi ya wanafunzi 130 wanatumia darasa moja katika shule ya msingi Luhama kata ya Bangwe Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoa wa Mwanza kutokana na upungufu wa madarasa katika shule hiyo. Shule hiyo ambayo ina wanafunzi 1, 306 ina vyumba vyumba vya madarasa 10 huku mahitaji yakiwa...
Eric James Shigongo Mwandishi, mwanasiasi na mhamasishaji
(alizaliwa wilayani Buchosa, zamani Sengerema, mkoa wa Mwanza, 10 Agosti 1969) ni mbunge wa Buchosa katika Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania (kuanzia tarehe 25 Novemba 2020) na mjasiriamali ambaye amejikita zaidi katika uandishi...
Leo ni siku muhimu katika historia ya Maisha yangu, ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu alinileta duniani kupitia wazazi wangu Bi. Asteria Kapela na Mzee James Bukumbi (wote marehemu).
Napenda kumshurku Mungu kwa kuendelea kunipa uhai, afya, nguvu na maarifa ili kuendelea kutimiza dhumuni lake la...
Shigongo amewaomba wananchi kuwa wavumilivu na kulipa tozo ya miamala ya simu tuweze kuinua uchumi ambao umeporomoka, amewataka wananchi kuvumilia machungu kwa miezi kuanzia kumi na nane au zaidi.
Kauli hii inakuja wakati ambao ripoti ya timu ya wataalam iliyoundwa kuchunguza fedha zilizotumika...
Utawala bora na uwajibikaji ni nyenzo mojawapo muhimu sana inayohitajika katika kila Taifa hapa duniani kwa ajili ya kusonga mbele. Ni kupitia utawala bora na uwajibikaji ambapo utu wa binadamu unaweza kudhihirika na kusaidia kumtofautisha na wanyama wengine, lakini pia kumsaidia binadamu...
Licha ya kufeli darasa la saba, mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanikiwa kuhitimu chuo kikuu akiibuka mwanafunzi bora aliyefaulu kwa kiwango cha juu zaidi.
Kabla ya kwenda chuo kikuu, anasema alijifunza lugha ya Kiingereza mtaani, kama wengine wanavyojifunza lugha ya makabila.
Shigongo...
Mh Shigongo ametoa pongezi hizo za kukata na shoka alipopewa nafasi ya kuchangia bungeni .
"Mh Spika mimi nilidhani kazi kubwa ya Wagogo ni kujipanga barabara na kuuza maji tu , kumbe nilikuwa sielewi kwamba tunaweza kuwa na kiongozi bora kutoka huko "
Chanzo : EA RADIO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.