Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limetoa ufafanuzi kuhusu Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33) Mwinjilisti wa Kanisa la Country Living aliyeshikiliwa kwa tuhuma za kuwashawishi Wazazi kutowapeleka Watoto shule kwa kile alichodai Yesu anakaribia kurudi.
Wiki moja iliyopita, Mkuu wa Wilaya ya...