Manchester United imemfuta kazi kocha Erik ten Hag kufuatia mwanzo mbaya wa msimu wa 2024/25. Klabu hiyo, maarufu kama The Red Devils, ipo nafasi ya 14 katika msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kupoteza mechi nne kati ya tisa za kwanza.
Kipigo cha jana cha bao 2-1 dhidi ya West Ham United...