Zamani kalenda iliyokua ikitumika ilikua haiendani na mzunguko wa dunia kuizunguka jua, kwa hiyo majira yakawa yanabadilika mfano mwaka huu mvua zinanyesha mwezi wa 7, mwaka ujao zinanyesha mwezi wa 12, na kadhalika. Hii ni kwa sababu kalenda ilikua inapishana na jinsi dunia inavyozunguka jua...