Jabari zenu wanaJF wenzangu,
Ombi langu kwa mwanaJF mwenzetu hapa jukwaani ndugu Erythrocyte . Mkuu mbona umekuwa kimya sana tofauti na siku za nyuma, tatizo ni nini?
Hebu tuambie kamanda kama kuna mtu amekuzingua hapa JF, au home unapoishi sisi tumkanye ili kukurudishia mood yako ya kuja JF...
Erythrocyte ni red blood cell inayohusika na usafirishaji wa oxygen kutoka kwenye lung kwenda kwenye tissue za mwili vilevile inahusika na usafirishaji dioksidi kaboni(carbon dioxide) kutoka kwenye tissue za mwili kwenda kwenye lung
Mr. Erythrocyte unathamani kubwa sana kwa sisi kingdom...
Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani.
Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao.
Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja...
Mkuu tumekaa kinyonge sana, hii habari ya Msigwa haina mibaraka yoyote kwa vijana wenye kiu ya kuona siku moja CDM inatawata Tanzania.
Tunaomba tamko lako, kuna siku ulituaminisha kuwa Msigwa hawezi kuhama chama. Leo tunapigwa na butwaa, yani hata ukijaribu kunywa Castle light ya baridi...
Nawasiliana na uongozi wa juu wa JF kuhusu kupata kibali cha kuandaa mdahalo hapa JF, TOPIC nitaitoa mapema kabisa kwa washiriki kujiandaa.
Mdahalo utakuwa kati ya manguli wawili wa CCM na Chadema ndg Lucas mwashambwa na Erythrocyte .
kwenye kona ya Lucas mwashambwa pia atakuwepo ndg The Sunk...
Kufuatia kujitoa kwa Jaji Elinaza Luvanda anayesikiliza shauri linalowakabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake watatu katika kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi iliyoko mahakamu kuu DSM, baada ya mshitakiwa namba 3 Freeman Mbowe kuonesha "kutokuwa na imani" naye, wengi...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya BAWACHA hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola.
Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana...
Wadau wa JF habari!
Kama ikitokea hawa wanawake wakatambua kua wamekosea na kuomba radhi nashauri wasamehewe. Jambo hili limetukwaza wengi ila kama watakiri makosa wasamehewe na tuwapokee.
CCM iliweza kuwasamehe kina Sophia Simba. Jesca Msambatavangu na wengineo hivyo...
Siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kuibua maswali juu ya tukio la kutekwa Mfanyabiashara Mohamed Dewji Kamanda wa Polisi Dar es salaam Lazaro Mambosasa amejitokeza na kusema yeye alishamaliza kazi yake.
Mambosasa amesema baada ya yeye...
Salaam wakuu
Natambua kabisa kuwa JF iko na utajiri wa wajuvi wa mambo katika kada zote za maisha. Kijana wenu naomba kujuzwa haya machache yanayonitatiza kuhusu muundo wa serikali ya Iran.
Mosi, natambua kuwa Iran ni jamhuri ya Kiislamu, je kiongozi wa kidini wa Iran ana mamlaka kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.