An escrow is a contractual arrangement in which a third party (the stakeholder or escrow agent) receives and disburses money or property for the primary transacting parties, with the disbursement dependent on conditions agreed to by the transacting parties. Examples include an account established by a broker for holding funds on behalf of the broker's principal or some other person until the consummation or termination of a transaction; or, a trust account held in the borrower's name to pay obligations such as property taxes and insurance premiums. The word derives from the Old French word escroue, meaning a scrap of paper or a scroll of parchment; this indicated the deed that a third party held until a transaction was completed.
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Mhe Jaji Frederick Werema,
Haraka nikamkumbuka aliyewahi...
Huyu Dkt Hamis Kigwangala ni miongoni mwawatu muhimu sana katika Taifa hili.
Vijana hawa walisaidia kurejeshwa Serikalini zaidi ya TZS 300 pesa zilizochotwa toka Akaunti ya Tegeta Escrow hivyo tusimchukulie poa.
Dkt Hamis Kigwangala akiongozwa na shujaa David Kafulila walisaidia nchi...
Wakuu,
Kwenye hizo kashfa za epa, escrow, richmond, kagoda, meremeta, na kashfa kibao nazo zilipata waliozitetea kwa nguvu kubwa sana.
Na baadhi ya vyombo vya habari vilijitoa kutetea na baadhi ya waandishi waliandika kutetea sana hizo kashfa lakini mwisho waliishia kuaibika tu.
Hivo...
Wakuu Habari!
Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa.
Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
Mjadala ulijitokeza miaka iliyopita kuhusu pesa za Escrow zilikuwa za umma au siyo za umma. Waliokuwa wanasema si za umma kimsingi walikuwa wanatetea upigaji wake na serikali isiingilie.
Waliokuwa wanasema ni za umma walikuwa wanatetea maslahi ya umma ikizingatiwa kuwa zilikuwa zinahifadhiwa...
KAMA JPM ALIKULA MKOPO NA KUWAFUMBUA MACHO WATANZANIA,BASI TUWAACHE WATANZANIA WAAMUE.
Fuatana nami👇👇👇
Rais John Pombe Magufuli alitutoa kwenye giza totoro lililoleta kashfa kubwa ya Ufisadi wa Richmond na Escrow na kutupeleka kwenye nuru na mwanga kwa kutujengea Bwawa kubwa la Umeme la Rufiji...
Akiongea na waandishi wa habari leo profesa Lipumba ameonyesha kushangazwa na hatua ya Rais Samia kumuachia huru mtu aliyekula njama za kukwapua zaidi ya shilingi bilion 350 za Escrow kwa kutakiwa kulipa shilingi bilion 26 tu, Profesa anahoji hizo pesa nyingine sasa zinakwenda wapi, na...
Wanabodi,
Azimio la Bunge kuhusu Escrow, limetolewa leo, na mjadala wa Escrow, umefungwa rasmi, wakati mjadala huu unaanza, nilisema humu, Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia Hakuna Atakayewajibika!. Jee leo baada ya mjadala kumalizika, vipi kuna yeyote...
Kwa miaka miaka mingi hapa Tanzania unapotokea ubadhirifu na ufisadi mkubwa ambao unapowahusisha vigogo wa nchi hii huundwa kamati au tume kuchunguza.
Kinachotokea tume au kamati hizo zikigundua kua wahusika wakubwa wa ufisadi huo huwa ni vigogo wakubwa kabisa wa nchi hii.Hufanya kosa la...
Wanabodi,
Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Paskali kuwa ni "an enemy of the people!", Ibsen anasema, the strongest man on earth is the man who can stand alone!", hivyo na mimi, katika jambo ambalo nina uhakika nalo na ninaamini ni...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida bunge la asubuhi limemaliza kwa mvutano mkali baada ya Kafulila kuomba muongozo juu ya ESCROW na wizi uliofanyika.
Ndipo AG alipoitwa kutoa maelezo kwanza, alianza kushambulia vielelezo vya Kafulila kuwa ni vipeperushi tu hali hiyo ilipelekea Mnyika kudai kuhusu...
Dodoma. Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila jana aliibua tuhuma nzito bungeni akiwahusisha mawaziri wawili na Sh200 bilioni zilichotwa katika Akaunti ya Escrow, iliyokuwa inamilikiwa kwa pamoja kati ya Tanesco na Kampuni ya kufua umeme ya IPTL.
Katika tuhuma hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.