"Kwahiyo CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo tu kwa CHADEMA kushinda, reform za uchaguzi zitamuingiza yeyote yule aliyechaguliwa kwa kura za wananchi". Esther Bulaya, Mbunge wa viti malum
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
"Hakuna chama ambacho nafasi ya mwenyekiti ina ukomo, tofauti yetu sisi na CCM, wao wamejiwekea kwa sababu Mwenyekiti wao ndiye mgombea. Wao wameunganisha nafasi ya chama kwenye nafasi ya nchi" Esther Bulaya, Mbunge viti maalum
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Ester Bulaya wakati akiulizwa maswali kwenye kipindi cha Power breakfast ameeleza kuwa hajaona mahali ambapo chama chake (CHADEMA) kikimkataa na pia alipoulizwa kuhusu CCM ameeleza kuwa CCM hawajamwambia bado kama wanamtaka na muda pia bado.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
Ester Bulaya amesema kuwa yeye alifuata taratibu zote za kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya chama chake. Pia ameeleza hakughushi nyaraka na kama amefanya hivyo basi alipaswa kushtakiwa mahakamani
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
Wakuu
Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.