Mbunge wa Viti Maalum Esther Bulaya akizungumza siku ya Jumatatu Februari 24, 2025 kupitia kipindi cha Power Breakfast cha kituo cha habari cha Clouds FM.
"Uchaguzi ni demokrasia, kachukua fomu Tundu Lissu (Mwenyekiti wa CHADEMA taifa), kachukua fomu Freeman Mbowe (Aliyekuwa Mwenyekiti CHADEMA...
"Mimi bado ninaongea lugha ileile ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na bado ninaongea lugha ya demokrasia, sasa suala la uanachama au kutokuwa mwanachama ni la maamuzi ya vikao, sasa kwenye jambo hilo, tutaenda kuongea kwenye vikao, kwasababu sisi tulikwenda mahakamani na kudai...
Wakati akafanya mahojiano na Clouds tv Esther Bulaya ameulizwa kuhusu msimamo wa CHADEMA wa No reform no election, ambapo amesema yeye kama mwanachadema anaunga mkono kauli hiyo kutokana na majeraha yaliyotokea kwenye uchaguzi
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
Wakuu,
Akiwa anahojiwa katika kipindi cha Power Breakfast Clouds Ester Bulaya amesema:
"Mimi ni CHADEMA, (kuhusu kufukuzwa) hayo ni mambo ya ndani ya chama na ndio maana sababu sisi tumesema ni wana CHADEMA tukaenda kutetea uana CHADEMA wetu, na ni njia ya kawaida.
"…Kwanza hakuna mtu yeyote...
BUNGE limeambiwa kuwa Serikali inavunja sheria kulinda makosa yake ya kupoka mamlaka ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Hayo yameelezwa leo bungeni Dodoma na Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali iliyowasilishwa wiki iliyopita na Waziri wa...
Mimi ninakubaliana kuhusu kurudi kwa akina Halima Mdeme na wenzake 19 kwa makubaliano na Kamati kuu na kwa kuomba msamaha kwa Baraza Kuu kwa vile hakuna binadamu asiye na kasoro.
Mbowe tumia weledi wa uongozi kwenye masuala yote magumu ya chama achana na makundi ya akina John Mrema wenye...
Akichangia kuhusu ripoti ya CAG Esther Bulaya asema Sirro arudishe ambako anahumu kama Balozi aje kuwajibika kwa ubadhirifu aliofanya.
Bulaya amesema mwaka 2018-21 Inspekta Jenerali wa Polisi alikuwa Simon Sirro, ambako kwenye mfuko wa Tuzo na Tozo na kufa na kuzikana katika jeshi la polisi...
Wabunge maarufu wa viti Maalum Halima Mdee na Esther Bulaya kwa pamoja wamechangia Tsh 9 million kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa
Mungu wa mbinguni awabariki
Chanzo: Clouds Media
Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo.
Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli.
Halima James Mdee mara kadhaa amefukuzwa Bungeni na Spika Ndugai kwa utovu wa nidhamu.
Halima James Mdee amewahi kutupwa...
Uongozi wa Chadema mkoani Mara umeunga mkono kwa kauli moja uamuzi wa kamati kuu ya chama chao wa kuwavua uanachama waliokuwa wabunge wao Esther Bulaya na Esther Matiko.
Chanzo: Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020:
1. Halima Mdee
2. Grace Tendega
3. Ester Matiko
4. Cecilia Pareso
5. Ester...
Viongozi watatu; Halima Mdee (Mb), Esther Bulaya (Mb) na Esther Matiko (Mb), wametoka magereza asubuhi ya leo na watazungumza na wanahabari leo katika Ofisi za CHADEMA makao makuu Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Polisi wamewablock viongozi wa CHADEMA Mheshimiwa Halima Mdee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.