Mwandishi wa Habari Eugen Peter ambaye leo asubuhi kupitia kurasa za Millard Ayo alitangazwa kutokujulikana aliko, amepatikana mchana huu akiwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dar es salaam.
Soma pia: Mwandishi wa habari wa Ayo TV, Eugene Peter amepotea na hajulikani...