euro 2024

The 2024 UEFA European Football Championship, commonly referred to as UEFA Euro 2024 (stylised as UEFA EURO 2024) or simply Euro 2024, will be the 17th edition of the UEFA European Championship, the quadrennial international men's football championship of Europe organised by UEFA. Germany will host the tournament, which is scheduled to take place from 14 June to 14 July 2024.
It will be the third time that European Championship matches are played on German territory and the second time in reunified Germany as the former West Germany hosted the tournament of 1988, and four matches of the multi-national Euro 2020 were played in Munich; however, it will be the first time the competition is held in the former East Germany with Leipzig as a host city.Italy are the defending champions going into the tournament, having won the 2020 edition after beating England in the final at Wembley.

View More On Wikipedia.org
  1. Greatest Of All Time

    Kikosi Bora cha Mashindano ya Euro 2024, Nani kakosekana?

    Uefa wametangaza kikosi chao bora cha mashindano ya Euro kwa mwaka 2024 yaliyofanyika huko Ujerumani. Kwa kikosi hiki, unakubaliana na Uefa? Kama hukubaliani nao, tuambie nani atoke, nani aiingie?
  2. Erythrocyte

    Nitaishangilia Uingereza siku ya Fainali ya Euro24

    Kabla ya hapa nilikuwa nashangilia Denmark, hii ni kwa sababu kwenye vijjiji vya Kwetu Kyela viliwekewa Maji ya bomba kwa mara ya kwanza na Nchi ya Denmark kupitia shirika la DANIDA, yaliitwa maji ya DANIDA Kwenye michuano hii ya Kimataifa huwa sishangilii kwa kufuata mkumbo, Nashangilia wale...
  3. GENTAMYCINE

    Tafadhali wale 'Watanzania Waholanzi' tunaotaka 'Watanzania Waingereza' leo Wafungwe tukutane Jioni hii tafadhali

    Nawachukia Waingereza kwakuwa wana tabia zile zile za Kelele, Propaganda nyingi, Ujivuni, Dharau na Sifa kama za Mashabiki wa Klabu Moja Kubwa na nisiyoipenda kuliko hata Shetani hapa Afrika Mashariki na Kati. Kila la Kheri mno Netherlands hii Leo.
  4. JanguKamaJangu

    Ratiba ya Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024

    Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024 Juni 29, 2024 Switzerland Vs Italia (1:00 Usiku) Germany Vs Denmark (4:00 Usiku) Juni 30, 2024 England Vs Slovakia (1:00 Usiku) Uhispania Vs Georgia (4:00 Usiku) Julai 1, 2024 Ufaransa Vs Belgium (1:00 Usiku) Ureno Vs Slovenia (4:00 Usiku) Julai 2...
  5. M

    Euro 2024 goal analysis roud 1 & 2

    As we head into the final round of group matches, here is a small piece on what we have learned so far.The first round produced plenty of goals, 34 in total and majority coming from strikes just outside the penalty area ( zone 14), players demonstrating their immaculate technical proficiency of...
  6. GENTAMYCINE

    Nilidhani marefa wanaopendelea ni wa Tanzania na NBC Yetu kumbe hata Ulaya? Goli la Netherlands lililokataliwa dhidi ya France lina Kosa gani?

    Kuanzia leo nitaacha rasmi Kuwalaumu Marefa wa Afrika kwa Kuvurunda kwa Kupendelea katika Ligi zetu na Mashindano yetu mbalimbali kwani kumbe huu Ugonjwa Sugu wa Marefa hauko tu Afrika na kwamba hata Ulaya kwa tunaowaamini nao uko? Naomba kujua tatizo la Goli la Netherlands ambalo Kwangu Mimi...
  7. K

    TANESCO Tanga mjini kwa nini mnakata umeme majira ya mpira michuano EURO 2024?

    TANESCO Tanga mjini mmeanza hujuma kukata umeme kipindi cha michuano ya mpira EURO 2024 ili watu waende kwenye kumbi za mipira wasiangalizie majumbani kwao, waathirika wakubwa ni Makorora, Msambweni, Mikanjuni na maeneo mengine. Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO Tanga siyo waaminifu huenda...
  8. MulengaMulenga

    Piga Kura: Nchi gani itashinda EURO 2024?

    Naomba maoni yenu tena! EURO inaanza leo na mechi Germany vs. Scotland. Mnafikiri ni nchi gani itashinda EURO 2024?
  9. Dr Restart

    UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    Naam, ni Hakika! Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024. Mashindano haya ya kusisimua, yanayofanyika mara moja kila baada ya miaka minne, yataanza kutimua vumbi Ijumaa...
  10. 2 of Amerikaz most wanted

    Euro 2024 is officially set

    The UEFA EURO 2024 final tournament is scheduled to take place from 14 June to 14 July 2024. As the host nation, Germany are seeded in Group A and will occupy position A1; they will therefore play in the opening match at the Munich Football Arena on Friday 14 June. Predict the winner 🥇
  11. Ghost MVP

    Mpira wa 'Adidas Euro 2024' itatumia "Microchip" kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono

    'Microchip' ilitumika katika mfumo wa 'semi-automated offside decision-making' katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka jana nchini Qatar. 'Microchip' ndani ya mpira wa Adidas wa Euro 2024 itatumika kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono kwenye michuano ijayo ya majira ya joto...
  12. Execute

    Zidane anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha, nawatabiria ushindi wa Euro 2024 na world cup 2026

    Yule mchezaji na kocha mwenye bahati zaidi duniani anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha kuanzia January 2023. Ninatarajia ataenda kubeba Euro 2024 na kombe la dunia mwaka 2026. Ufaransa wanavyo vipaji vya kila aina ikiwemo kijana machachari Mbappe. Muda utatupatia majibu.
  13. Sildenafil Citrate

    Urusi yazuiwa kushiriki michuano ya EURO 2024

    Shirikisho la soka Barani Ulaya limeshikilia msimamo wake wa kutoiruhusu nchi ya Urusi kushiriki michuano ya kufuzu UERO mwaka 2024. Huu ni mwendelezo wa vikwazo kwa nchi hiyo kufuatia kufanya uvamizi wa kijeshi kwenye nchi ya Ukraine. Hadi sasa, vilabu vya soka nchini humo vimezuiwa pia...
Back
Top Bottom