Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta zinazoanza kutumika leo Agosti 7, 2024 ambapo kwa Dar, Petroli imepanda kutoka Tsh. 3,210 hadi Tsh. 3,231, Dizeli kutoka Tsh. 3,115 hadi 3,131 na Mafuta ya Taa yameshuka kutoka Tsh. 3,261 hadi Tsh...