Mimi na huyu mwanaume tulikaa kwenye mahusiano kwa miaka 7. Baada ya kumaliza chuo, ilikuwa ngumu sana kupata kazi. Mimi nilibaki nyumbani nikawa nafanya kazi kwenye duka la baba yangu. Nilikuwa napata hela kidogo kidogo, namtumia yeye aliyekuwa Dar akijitafuta. Pamoja na umbali, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.