ex karudi kwa kasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Aliyeniacha, amerudi kwa spidi ya hatari

    Baada ya kuniacha kwa mbwembwe akijua nitamtafuta, na sikumtafuta; augua presha na kulazwa. Ndugu na jamaa wakawa wanamuhoji, ''equation x ni nani, na hatutaki tena kumuona akiwa na wewe, ona sasa anavyokuletea matatizo.'' Ndipo mrembo alipoamua kunipigia simu, angalau tu asikie sauti yangu...
Back
Top Bottom