Baada ya kuniacha kwa mbwembwe akijua nitamtafuta, na sikumtafuta; augua presha na kulazwa.
Ndugu na jamaa wakawa wanamuhoji, ''equation x ni nani, na hatutaki tena kumuona akiwa na wewe, ona sasa anavyokuletea matatizo.''
Ndipo mrembo alipoamua kunipigia simu, angalau tu asikie sauti yangu...