Rais William Ruto amewasilisha msamaha binafsi kwa familia ya Rex Masai, kijana aliyeuawa wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha wa 2024 jijini Nairobi.
Msamaha huo uliwasilishwa Alhamisi, Oktoba 29, na Profesa Makau Mutua, Mwenyekiti wa jopo lililoundwa kushughulikia fidia kwa...