Uchawi sasa hivi unaenda kuwa kitu cha kawaida sana Duniani. Kozi mbalimbali zimeanza kuanzishwa zikifundisha uchawi na uganga wa jadj. Nchi ya uingereza inaweza ikawa nchi ya kwanza ya kutoa Elimu ya juu ya uchawi.
Vivyo hivyo Sahada ya Uzamili ya uchawi itakayoanza kutolewa mwaka 2024...