experience

Experience is the process through which conscious organisms perceive the world around them. Experiences can be accompanied by active awareness on the part of the person having the experience, although they need not be. Experience is the primary subject of various subfields of philosophy, including the philosophy of perception, the philosophy of mind, and phenomenology.
Several different senses of the word "experience" should be distinguished from one another. In the sense of the word under discussion here, "experience" means something along the lines of "perception", "sensation", or "observation". In this sense of the word, knowledge gained from experience is called "empirical knowledge" or "a posteriori knowledge". This can include descriptive knowledge (e.g. finding out that certain things are true based on sensory experience), procedural knowledge (e.g. learning how to perform a particular task based on sensory experience), or knowledge by acquaintance (e.g. familiarity with certain people, places, or objects based on direct exposure to them).
In ordinary language, the word "experience" may instead sometimes refer to one's level of competence or expertise, either in general or confined to a particular subject. In this sense of the word, "experience" generally refers to know-how rather than descriptive knowledge (or in other words, on-the-job training rather than book-learning). This article is not about "experience" in this sense, but is instead about the immediate perception of events.

View More On Wikipedia.org
  1. Safari yangu na washikaji na raha ya mapenzi Tanga-Moshi-Arusha-Karatu. An amazing city-break travel experience.

    Wasalaam JF, Ulikuwa ni mwezi uliojaa raha na mapenzi motomoto. Kipekee kwangu nilianza na penzi la mdogo akafuate msambaa, Kisha mpare baadae mchaga, baadae mmeru, baadae mbugwe, finally mmaghati. Sitaki kuwasemea wenzangu maana raha, utamu na ladha ni vya mlaji. Ila kwa hakika ukikutana na...
  2. Umewahi kutumia VFD yaani kutumia simu kutoa risiti za EFD? Tupe experience yako

    VFD ni mfumo uliothibitishwa na TRA wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au kompyuta, huu mfumo ni Bora kabisa na rafiki kwa wafanyabiashara utakaokuwezesha kutoa risiti bila kikomo, Kupunguza garama kwa zaidi ya 50%, kutoa risiti za Softcopy na HARDCOPY, na sasa unaweza kutoa risiti ambayo...
  3. Experience yangu JF miaka 10 iliyopita

    Habari za usiku waungwana. Nimekumbuka experience yangu humu JF 10 years ago, nilikutana na a nice guy, ngoja nishee nanyi. Ilikuwa ndo nimegraduate chuo kikuu, nikaajiriwa kampuni X jijini Arusha, ilikuwa kampuni yenye projects nyingi, halafu za kusafiri almost every week kuna trip. Mimi ndo...
  4. My American Experience: Autobiography by William Malecela

    Tukielekea 40 ya Mzalendo nguli. Tumuenzi Kwa kusoma kitabu chake cha My American Experience. U know! Tutakukumbuka daima bro.
  5. Ilikuaje ulipopanga miadi na mwanamke akataka aje na rafiki yake?

    Mara nyingi wanaume tukiweka miahadi na mwanamke tunataka aje peke yake (privacy), sasa ilikuwaje ulipanga appointment na mwanamke, akawa anataka kuja na rafiki yake? Ulimkubalia, nini kilitokea?
  6. Tupeane Experience, kutoka kimapenzi na jirani mliekutana nyumba za kupanga

    Habari wakuu, Wanasema uliza kwa wenye uzoefu wakusomeshe mchezo.... Nawatonya wazee wa totoz dar night hamna kitu msikae kutega kitaa, Ita Uber, Ita bolt maana Mboga zote ni kitambaa. Okay, Lets go... Nataka watu ambao katika harakati za kupambana na changamoto za maisha basi katika zile...
  7. Experience yangu na cat converter (masega) ya kichina

    Kwanza kabla sijaanza kueleza kisa changu naomba niongee kitu kimoja. Huwa nashangaa sana unakuta mtu ana IST old model, passo, harrier old, Noah Sr40/sr50, Noah voxy za mwanzoni, Harrier chogo matoleo ya mwanzo, raum, spacio, n.k. anapagawa gari yake ikitolewa masega. Tena kibaya zaidi kama...
  8. Vipi nikikwambia unaweza ukatengeneza logo bila kutumia experience yoyote?

    Leo nitakuelekeza jinsi ya kutengeneza logo ya kampuni yako haya ya mtu bila kutumia ujuzi wowote! fuatilia: Unahitaji kuwa na internet connection na smartphone au laptop. 1. Tutamia tool inaitwa chat gpt katika kutengeneza prompts. Kama huna account create hapa...
  9. Share Your Experience While Working Under An Elite Person

    I wish there is a better way to present this Umewahi kufanya kazi au kwa sasa unafanya kazi chini ya mwanaume au mwanamke tajiri sanaaa? mtu mashuhuri au mwanasiasa wa daraja la juu? Please share your experience with them.
  10. Mliopangiwa kazi Serikalini kupitia Mchakato wa 'Database' ya Utumishi, njooni mtoe Experience yenu

    Habari za wakati huu, suala la kusaka ajira za serikali haijawahi kuwa jambo rahisi kwa wale ambao hawana kazi hata wale ambao wapo kwenye private ila wanataka kuingia serikalini kwa ajili ya security na vitu kama hivyo. Uchache wa nafasi hufanya wengi wafunge safari hivyo hivyo kwenda Dodoma...
  11. Kwa waliowahi kupatwa na bomoa bomoa ya makazi tupeni uzoefu

    Habari wa na JF, Swala la bomoabomoa ni moja ya jambo linaloweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mfumo wa maisha ya mtu...Hizi bomoa bomoa zinaweza kuwa kwa makosa ya mtu binafsi labda kujenga ndani ya eneo lisilo sahihi au upanuzi wa project mbalimbali za serikali. Katika changamoto hii tupeane...
  12. Katika maisha fanya mambo kwa kiasi

    Mimi Nina 45 na sina tatizo lolote kiafya. Kimoja Kwa Afya. Katika Umri wote nilioishi na Allah ananipa punzi najistukia na kuona kila kitu naona ni muhimu kila jambo kufanya kwa kiasi. Hata kumpenda wife nampenda kwa kiasi sio nipoteze nguvu zote kumuangukia na kununua mazawa kibao. Pipi tu...
  13. INSTINCTS ARE MATHEMATICAL / MACHALE NI MAHESABU :: From my personal experience as a Data Engineer and Computer Programmer

    Hello bosses........ Nadhan hii inawakuta watu wengi pia. Kuna muda unafanya decision bila kuwa na sababu yoyote ya msingi au logical. Hii wazungu hupenda kuiita 'gut feeling'. Yaan unaweza panga kwenda safari lakini ghafla tu unaamua kuahirisha halafu unasikia basi ulilopanga kusafiria...
  14. Mwaka 2022 unaelekea mwisho, Malengo yako yalikuwa yapi? Umetekeleza nini? Changamoto? Let's share experience!

    Habari wakuu. Binafsi mwaka huu niliwekea Malengo makuu matatu. 1. Kuhama nyumba ya kupanga na kuhamia kwangu (Nyumba ilikuwa hatua za mwisho yaani finishing) mungu amesaidia nimetekeleza. 2. Kuwa na eneo la ziada (plot) ambayo itakuwa kama asset ya baadaye. Nimetekeleza. 3.Kuwa na mtaji wa...
  15. Mtu akiniuliza kama nimeajiriwa naumia sana rohoni. Kuna mwingine ameshawahi experience hiki?

    Sababu baada ya kumaliza chuo nimekosa ajira baada ya ku-apply sana Kazi sijaambulia kupata, sanasana naishiaga kwenye interview. Nimekaa mtaani mda mrefu, hivyo najishughulisha na temporary informal jobs ndogo ndogo. Mtaani baadhi ya watu wanajua mimi ni mwanachuo, sasa sometimes utakuta mtu...
  16. Hapa nchini ukipiga namba za dharura wanafika kusaidia?

    Ndugu Zangu hii kitu naiwazaga Sana. Kuna huduma zinatakiwa zitolewe Kwa uharaka mkubwa na Kwa nchi za wenzetu ukifanya hivyo ukapiga hizi namba mfano Ukapiga mamlaka mengine za huduma za dharula haichukui dakika washaamsha safari Kwa Kasi ya kubwa. Hapa bongo vipi??? Najua pia tupo wengi...
  17. Je, una experience ya sales kwenye printing and designing?

    Anahitajika kijana wa sales mwenye vigezo vifuatavyo: Kuanzia umri wa miaka 21 hadi 30 Aweze kutafuta wateja wa printing, designing, event management, social media management Awe tayari kulipwa Tshs. 200,000 kwa mwezi kama allowance, na 10% commission akileta biashara Awe na experience ya sales...
  18. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuna shida sana kwenye mfumo; mfumo hauruhusu watu kuomba kazi pamoja na kuwa na vigezo

    Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa? Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe...
  19. C

    Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

    Kama mada inavyojieleza hapo wakuu, naomba kufahamu uzoefu walopata wale waliopitia mfumo huo wa elimu kupata shahada zenu. Hiyo ikihusisha namna ya kusoma ugumu na wepesi na pia baada ya kumaliza kusoma.
  20. C

    Wanaume na wanawake wenye experience naomba mnijibu hili

    Hivi inawezekana mwanaume akafahamiana na mwanamke ndani ya mwezi mmoja na mwanaume akagundua kwamba amepata mke?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…