Mara nyingi tunapo nunua bidhaa huwa tunaangalia expiring date tu. Je, tunasoma alama zinginezo?
Hii inaitwa shelf life, na inamaana gani?
So shelf life in pale utakapo anza kutumia bidhaa hiyo inatakiwa kitumika katika muda fulani, Mara nyingi make-ups nyingi huwa na hii alama, pia skin care...