Habari zenu jamani, Beberu nawasalimu kwa bashasha kubwa,
Kwa vipindi vya Asubuhi ndani ya nchi hii hakuna kipindi bora zaidi ya Morning Express cha UFM.
Napendea kipindi hiki vitu vifuatavyo:
✓ Wanatumia kiswahili sanifu sana, Hakuna kiswanglish huku
✓ Wanareport kwa utaratibu, hakuna...