Juzi kati nikawa na kijisafari cha kuelekea mikoa ya huko kaskazini mwa Tanzania. Nikasema ngoja nipande Kilimanjaro express, duh kwa kweli nilijuta sana kupanda lile basi.
Cha kwanza tulidanganywa kuwa basi ni luxury hivyo tukakatishwa nauli kubwa ila kiuhalisia hakuna luxury bus pale, bus...