Habarini za muda huu, naomba msaada wenu, kwenye ili, nina HDD (Hard Disk Drive) niliitaji kuiwekea password basi siku ya ijumaa saa 3 asubuhi nikafanya ilo zoezi nilifata procedure zote ila ilipoanza kufanya zoezi la kusoma percentage baada ya ku-react password, ilisoma percentage siku nzima...