Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba maoni yenu wadau ni ipi gari kali zaidi kati ya Mercedes C200 Kompressor vs BMW 320i zote za 2010 in terms of reliability, performance, comfortability, prestige, driving experience n.k?
Hivi wanaume wenzangu hatuwe kumsaidia mtoto wa kike bila kumuomba mbususu jamani
Maana watoto wengi wa kike wakitaka kupata kazi basi watoe mbususu haya atakayekuja kumuoa ataikuta ikiwa na hali gani?
Mfano wasanii wa kike wengi wanapitia hayo na sasa tunaona kwa konde boy alichokifanya kwa...
SHAKA HAMDU SHAKA AMUUMA SIKIO RAIS SAMIA,AMWAMBIA "MAMA KANYAGA
TWENDE,CHAMA KINARIDHISHWA, WANANCHI WANAKUELEWA"
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amemtia shime Rais Samia Suluhu Hassan azidi kukanyaga na kupiga hatua za maendeleo kwa kuwa...
Samahani wakubwa Hivi hii Kozi ya Bachelor of Science in Physics pale UDOM mtu akisoma anakuwa nani maana kila nitakayemuuliza ananiambia hapo ni ualimu naomba mnisaidie hapa? 🐒🐒🐒🤔🤔
Kilikuwa kipindi kigumu nilipo jua uhalisia kuwa ukikubali kuishi ni lazima ufanye kazi, na maendeleo ya mtu ni kinyume sawia na ubora wa juhudi zake katika kazi anazozifanya. Sababu hakuna aliye umba chochote duniani vyote vilivyopo vilikuwepo na vipo, hivyo ni lazima tujifunze jinsi ya...
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa muda mrefu nimekua nikisoma threads tofauti tofauti hapa JF zinazohusiana na watu wapole/wakimya (introvert) na wale wasio wapole/wacheshi (extrovert)
Binafsi nimekua nikijiuliza nipo kundi lipi bila kupata majibu kwa sababu sifa zote za...
Naaanza Mimi
Ni asubuhi nimeaamka Mara pa
Naona ka sijielewi duuh
Kumbe ni J3 mitungi ya Jana
Imenichanganya ndo mana hata sielewi
Ni noma kwenda mbele siunajua tena wasela ndo ivo 😀😀😀😀😀😀
Tupieni na yenu wakuu tuchekane humu najua wengine sio watunzi wazuri kama nilivyo mm tu ila shuka tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.