ezekia wenje

Ezekia Dibogo Wenje (born 2 October 1978) is a Tanzanian politician and part of the CHADEMA center-right political party in Tanzania and Member of Parliament for Nyamagana constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    Ezekiah Wenje ahudhuria mkutano wa kamati kuu CHADEMA

    Wakuu, Baada ya kupita Mkutano Mkuu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Victoria Ezekia Wenje amekuwa sio wa kuonekana kwenye matukio ya chama jambo ambalo lilileta maswali mengi mtandaoni na vijiwe vya kisiasa kila mmoja akisema lake. Hatimae jana Machi...
  2. sonofobia

    Pre GE2025 Wenje: Tunahitaji kuwa kama Zelensky, tutapinga udikteta uchwara ndani ya CHADEMA

    Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa.
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 Ezekia Wenje aibuka baada ya kudaiwa kuitosa CHADEMA: Nimepigana vita vingi, kushinda na kushindwa ni sehemu ya Safari

    Mwanasiasa na aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje, ameweka wazi msimamo wake kuhusu siasa za chama hicho baada ya uchaguzi, akisisitiza kuwa bado yuko ndani ya CHADEMA na hana mpango wa kuhama. Kupitia ujumbe wake X (zamani twitter) Wenje amesema: "Nimepigana...
  4. J

    Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

    Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia CHADEMA...
  5. Waufukweni

    Pre GE2025 Wenje abanwa tuhuma alizozitoa kuhusu fedha za 'Join the Chain', apata kigugumizi ghafla

    Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Ezekia Wenje ameulizwa kuhusu takwimu za madai ya ubadhilifu wa fedha za mkakati wa 'Join the Chain' ambazo alizitoa katika mkutano na waandishi wa habari wiki iliyopita. Akijibu swali hilo, Wenje amesema aliainisha yaliyofanyika nyuma ya...
  6. Tlaatlaah

    Well done Ezekia Wenje, umeweka rekodi vizuri sana, ni vema wanachadema kupuuza porojo, stori na hekaya za kusadika za akina Lema na Heche

    Ukweli uliowekwa wazi na mgombea umakamu uenyekiti wa Chadema Taifa Ezekia Wenje, umebadili uelekeo na kuweka sawa uoptoshaji na unafiki wa kiwango cha juu sana, ambao umekua ukisemwa na kusambazwa kwa makusudi na Lema na Heche dhidi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuhusu mambo mbalimbali ndani...
  7. Carlos The Jackal

    Ushindi wa Lissu ni hakika, Wenje na kundi lake isipokua Mbowe watahamia CCM, CHADEMA kitakua chama chenye nguvu sana

    Baada ya uchaguzi wa kesho kutwa. Na sababu kubwa itakayomuondoa Wenje ni kua tayari ameshawekwa wazi kubwa ni Project ya watu. Kama umesikiliza Hotuba ya Wenje na kudadavua mistari yake , Wenje kaamua kutumia Uongo mwingi akidhani anafanya damage. Msigwa na wengine walofukuzwa Kwa Hila...
  8. J

    Kuna tofauti gani Mwenyekiti wa CCM akimteua Makamu wake kisha apigiwe Kura na Mbowe kumteua Wenje kisha apigiwe Kura?

    CCM inatumia Akili kubwa, inajua Mwenyekiti wake ni Rais wa JMT mwenye majukumu chungu nzima ya kiserikali hivyo ni Busara Yeye mwenyewe ateue Msaidizi wake kisha Mkutano mkuu umfanyie usahili Hii inaepusha watu kuvunjiana Heshima kama huko Chadema yule mbobezi Wenje alivyowavuruga hadi...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Ezekia Wenje: Msimshangae Mbowe, mbona Nyerere alikaa Madarakani muda mrefu zaidi

    Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwalimu Julius Nyerere alihudumu madarakani kwa muda mrefu zaidi kuliko Freeman Mbowe. Pia, Soma: - Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa' - Wenje: Mwaka 2020 tulimpitisha Lissu kwenye Urais...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Wenje: Mwaka 2020 tulimpitisha Lissu kwenye Urais kwasababu anafanana na Magufuli

    Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amesema "Hii ya (Lissu) kuombea Urais, unapokuwa na mgombea wa aina ya Magufuli, tunajua Magufuli alivyokuwa inabidi upeleke mtu anayefanana nae tabia zake" Pia, Soma - Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA - Ezekia Wenje...
  11. Waufukweni

    Pre GE2025 Ezekia Wenje: Lissu aliogopa kugombea Umakamu Mwenyekiti na mimi akihofia kudhalilika akishindwa

    Wakuu Baada ya Tundu Lissu kudai kuwa Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yake (Makamu Mwenyekiti) ili wamuondoe, na yeye kuamua kugombea nafasi ya aliyekutuma (Uenyekiti), sasa Ezekia Wenje amejibu mapigo; Soma: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema...
  12. Waufukweni

    Pre GE2025 Ezekia Wenje: Abdul bado ni rafiki yangu, si ajabu mimi kuwa na marafiki waliopo CCM

    Mbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu. Aidha, alifananisha uongozi wa Mwalimu Nyerere na Freeman Mbowe, akisema Nyerere aliongoza muda mrefu zaidi, na kuonyesha kuwa uongozi...
  13. D

    Nimegundua kuna utofauti mkubwa wa upeo wa kufikiri kati ya wafuasi wa Lissu na Mbowe

    Ukimsikiliza Wenje leo alipokuwa akihojiwa BBC utagundua hilo. Wenje hana kitu kabisa kichwani.
  14. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

    Wakuu Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma" Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa...
  15. Mr-Njombe

    Hakuna mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa nje ya Tarime anaweza kumpigia kura John Heche nafasi ya Makamu Mwenyekiti

    Heche anajulikana kwa ubinafsi, huku hekima na busara vikimpitia pembeni kama ilivyo kwa Lissu. Lakini pia ni Heche ni muoga sana field ukilinganisha na majigambo yake kwenye mikutano au press. Ana maadui wengi zaidi chadema sambamba na Tundu Lissu anaeona kila mjumbe wa mkutano mkuu chadema au...
  16. Waufukweni

    John Heche: CHADEMA tumefika hapa tulipo (kwenye mtanziko) kwa sababu ya Wenje

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake. Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika...
  17. Waufukweni

    Pre GE2025 Ezekia Wenje: Wapambe wanawagombanisha Mbowe na Lissu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza, amesema wapambe ndio wanaosababisha migogoro kati ya Freeman Mbowe na...
  18. Waufukweni

    Pre GE2025 Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza. Soma, Pia: Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya...
  19. Waufukweni

    Pre GE2025 Ezekia Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya maneno"

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza, amesema; "Chama (CHADEMA) ni kikubwa kuliko mtu yeyote, hii dunia wote...
  20. Cute Wife

    Pre GE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

    Wakuu, Lissu anaongea club house sasa hivi kujibu hoja za wenje na kuongelea mambo mengine. Kati ya aliyosema ni kuwa hajawahi kumtuma Wenje kuhusu madai yake kabisa na kwamba ni uongo. Lakini pia hajawahi kutoa doc za madai yake kwa abdul ili amsaidie kufatilie madai yake. Pia soma: Pre...
Back
Top Bottom