CEO wa Meta Mark Zuckerberg ametangaza kusitisha mfumo wa uliopo wa kuhakiki taarifa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na Threads ambapo kampuni hiyo sasa itaanza kutumia mfumo wa Community Notes kama ule unaotumika X
Aidha Zuckerberg alitangaza mabadiliko makubwa katika sera za usimamizi...
Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwemo Afrika Kusini, Shelisheli, Senegal, Rwanda, Nigeria, na Kenya.
Kampeni hiyo inatarajiwa...
Mimi siyo expert wa kutangaza online kwenye Facebook na Insta lakini nina uzoefu kidogo wa kama miaka miwili hivi kutangaza huko.
So niulize swali lolote kuhusiana na sekta hiyo nami nitakujibu.
Nikishindwa watakuja wataalamu zaidi na mimi nitazidi kujifunza.
Karibuni.
Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login
Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako??
Kwenye wateja namaaanisha
Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
Faini imetolewa na Umoja wa Ulaya (EU) dhidi ya Mitandao ya #Facebook na #Instagram iliyobainika kulazimisha watumiaji wa Nchi za EU kupokea matangazo yanayoendana na wanachokifanya Mitandaoni.
Uamuzi huo wa Nchi 27 zenye watu karibu milioni 450, ni utekelezaji wa Sheria ya...
Mtandao wa Financial Times umeripoti kuwa kampuni ya Meta Inc inajiandaa kutangaza iwapo itamruhusu Rais huyo wa zamani wa Marekani kurejea #Facebook na #Instagram.
#META imeunda timu ya Wafanyakazi wa Sera za Umma na Mawasiliano pia, kuna timu ya Maudhui ambao watajadili na kuamua kuhusu suala...
Ni mara chache sana mtu atapost facebook na instagram, inaweza kuwa mara 1 kwa mwezi lakini huku status za whatsapp mtu anaweza kupost kila siku maana hata watu wanaoziona ni wale aliowasevu na anaweza kuwachuja zaidi, pia hata watu watao like ama ku comment ni siri yake sio wazi wazi.
Mtu...
Kampuni mama ya Facebook Meta imesema itaanza kutoa maelezo hadharani kuhusu namna matangazo watu. Hatua hii imefikiwa ikiwa miezi michache kabla ya uchaguzi wa muhula wa kati nchini Marekeni.
Aidha, tangazo hilo linafuatia ukosoaji wa miaka mingi kwamba mitandao hiyo huzuia habari nyingi...
Mahakama mjini Moscow imepiga marufuku shughuli za Instagram na Facebook zinazoonesha "msimamo mkali" nchini Urusi, ripoti zinasema.
"Tunalikubali ombi la upande wa mashtaka la kupiga marufuku shughuli za [Instagram na kampuni mama ya Facebook] ya Meta," Jaji Olga Solopova alisema, kwa mujibu...
Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo.
Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe...
Na wewe huwa unajiuliza swali hili au huwa unaogopa kujiuliza kwasababu unahofia kuona makosa yako?
Ukweli ni kwamba wengi swali hili kulifanyia kazi huwa hatutaki kwasababu tunaona tutajiumiza kwa ukweli ambao tutaujua kupitia matangazo ambayo huwa tunayafanya.
Kuna njia nyingi sana za kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.