Thabo Bester aliyekuwa akitafutwa kwa udi na uvumba na mamlaka za afrika ya kusini amekamatwa leo asubuhi huko mkoani Arusha, Bester maarufu kama Facebook rapist anatuhumiwa kwa makosa kadhaa yakiwemo ubakaji,utapeli na mauaji,
Kabla ya kukamatiwa Tanzania, Bester alikuwa akitumikia kifungo...