fadlu davids

Fadluraghman "Fadlu" Davids (born 21 May 1981 in Cape Town, Western Cape) is a retired South African football (soccer) striker who last played for Premier Soccer League club Maritzburg United. He was twice the highest goalscorer in the South African National First Division.
Since his retirement in 2012 Davids has served as assistant coach to Ernst Middendorp at Maritzburg United. When Middendorp left Martizburg United in 2016, Davids was named interim coach of Maritzburg for a third time in his career. His brother, Maahier Davids, was named as his assistant.
Upon the arrival of Roger De Sá, Davids resumed his position as Maritzburg's assistant coach. However, only seven games later, he reclaimed his position as interim coach after De Sá's resignation. Davids was caretaker for the rest of the 2016–17 South African Premier Division. On 1 July, Maritzburg United announced that Fadlu Davids would be the permanent coach after a very good performance as caretaker; he was in charge for the final nine games of the season, winning four, drawing three and losing two. Davids first full season as a coach was a success united were 4 points away from going to the 2018–19 CAF Confederation Cup and they also lost in the finals of the 2017–18 Nedbank Cup which was their last chance to qualify for the CAF tournament. Davids team played 15 league games and only won once, and on 24 December, Maritzburg United sacked Davids. Davids returned to be an assistant coach, this time for Orlando Pirates F.C., and has been in that position since 15 January 2019.
Davids has gained a reputation for promoting younger players after creating first team opportunities for the likes of Siphesihle Ndlovu‚ Bandile Shandu and Mlondi Dlamini, all of whom started out as ball boys.

Joined Maritzburg United: 2007
Previous clubs: Silver Stars; Vasco Da Gama; Manning Rangers; Santos Cape Town; Chernomorets Burgas, Bulgaria; Avendale Athletico, Mother City

View More On Wikipedia.org
  1. 1

    Kocha Fadlu Davids amevunja rekodi za makocha wote waliowahi kufundisha Simba tangu mwaka 2007

    Kocha huyu ingawa kwangu ananipa mashaka sana kutokana na sub zake lakini haiondoi ukweli kuwa amevunja rekodi ambazo hazijawahi kuwekwa na kocha yeyote aliyewahi kufundisha Simba. Fahdu ameweka rekodi kubwa tatu ambazo mtu yeyote wa mpira anipinge kwa takwimu na sio porojo. 1. Fact ya kwanza...
  2. Kocha Simba SC, Fadlu Davids: Jean Charles Ahoua ni mchezaji mdogo sana, tumpe nafasi kujifunza

    Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amewataka mashabiki na vyombo vya habari kuacha kumwekea presha mchezaji wake Jean Charles Ahoua, akisisitiza kuwa kijana huyo bado ana safari ndefu ya kujifunza. "Niliwahi kuwaambia kuwa Jean Charles Ahoua ni Mchezaji mdogo sana kiumri, alivyokuwa anafunga...
  3. Hii Simba SC inapikwa nyiee! Fadlu Davids: Tulikipata kikosi tukiwa hata siyo sifuri, bali hasi -5. Haya ni 'Maendeleo'

    Miezi mitatu iliyopita, Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, aliweka wazi kuwa kikosi chake hakikuwa kimefikia kiwango cha ushindani asilimia 100. Alipoulizwa hivi karibuni kuhusu maendeleo ya timu kwa neno moja, jibu lake lilikuwa "MAENDELEO." Akizungumza kwa kina, Davids amesema: "Tulikipata...
  4. Fadlu Davids kuhusu Mpanzu: Tutaangalia acheze namba ngapi

    "Mpanzu anaweza kucheza nafasi nyingi. Anaweza kucheza kushoto, kulia, namba 10 na hata namba 9." "Ni mchezaji mwenye ujuzi akibaki na beki mmoja - 1 vs 1. Ana uwezo wa kufunga magoli, na kufanya mikimbio pia kucheza kwenye maeneo yenye nafasi finyu uwanjani. So ni jukumu letu kutafuta nafasi...
  5. UTABIRI: Kocha wa Simba Fadlu Davids hana maisha marefu ndani ya klabu, atafukuzwa ghafla kabla ya Pasaka

    Wakati mashabiki wa SSC wapo kwenye shangwe la ushindi, mimi Omoyogwane kuna kitu nakiona ambacho wengi hamkioni. Kocha Fadlu mbinu zake ni zile zile hii mechi ya 11 makocha wa mikoani washaanza kumuelewa na kutafuta muarobaini wa mbinu zake Kikawaida hupanga mabeki wanne nyuma ambao...
  6. Simba Kama ilitaka kocha mzungu, Mpenda vijana na mkuza vipaji basi Julien Chevalier wa Asec. Kama ni huyu Fadlu. Bila bahasha tunaweza shuka daraja

    Julien yupo Asec toka 2017. Kila mwaka anauza nyota wote lakini msimu unaofata anakiwasha kimataifa. Kajaza nyota kibao ulaya na Africa. Tunaenda kuchukua kocha mshusha viwango. Aliishusha kiwango Orando Pires wakamfukuza. Akarudi timu ya awali Murtzsburg akaishusha daraja kabisa. Na huko...
  7. Huyu coach wa Simba Fadlu Davids na viongozi wataikwamisha project ya Simba, wana wenge sana

    Nilivomuona sio mtulivu. Au labda hajawahi kuwa coach mkuu popote alikuwa msaidizi huko kote alikotoka, hivi Simba hawakupata cv za coach wa maana Kwa ajili ya project yao? Coach amekuja amefanya pre season na team, wamewaona mastriker wote Mukwala na Fred na akawa ana sifia ati ana team nzuri...
  8. Fadlu Davids - The Great Communicator

    Simba wamepita makocha wengi bora katika mbinu, lakini wachache bora katika maelezo, either kuelezea programu zake, hali ya timu, mbinu zake au kuwasilisha jambo lolote. Japo sio sifa ya lazima kama kocha, lakini endapo ukawa mzungumzaji mzuri basi inasaidia zaidi. Fadlu Davids ni moja ya...
  9. Simba ya Fadlu David leo inaweza kupoteza leo hata kama inacheza na timu ya Dalaja la chini sababu Fadlu sio kocha kiasili ni trainer

    Fadlu David siii kocha kabisa. Fadlu Amekuwa assist coach kwa miaka saba tofauti pale Mutirzburg United South Africa. Kwa kipindi tofauti iliaminika yeye ndio chanzo cha mafanikio pale. Ila kila wakitimua kocha Akiachiwa timu timu inapoteana na kunyanganywa upya baada ya miezi 2 tu mara 5...
  10. Hatimaye Fadlu Davids atangazwa kuwa Kocha wa Simba SC. Hizi hapa takwimu zake

    Klabu ya Simba ya Tanzania imemtangaza rasmi Kocha wa zamani wa Orlando Pirates, Fadlu Davids (43) ambaye ameachana na nafasi yake ya Kocha Msaidizi wa Klabu ya Raja Casablanca kuja kuinoa miamba hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Davids, pamoja na kocha wa zamani wa Orlando Pirates Josef...
  11. H

    Tetesi: Huyu hapa kocha mpya wa Simba SC

    Niko hapa kuthibitisha kuwa Fadlu Davids ni kocha mpya ajaye Simba SC Raia huyo wa Afrika Kusini ni kocha msaidizi wa Raja Casablanca
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…