Kuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.
Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha kwa namna Moja Aman Nyingine.
Baada ya Kocha Fadru Kupoteza Michezo miwili dhidi ya Mshindani wake...