fafanueni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hongera Rais Samia kwa Ph.D Nyingine ya Heshima, Akemee Kuitwa Dr? Kuna Haja TCU/MCT/Maelezo Kutoa Ufafanuzi/Muongozo kwa Media Kuita Watu Dr?

    Wanabodi, kama kawa, kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni pongezi kwa Rais Samia kwa kutunukiwa Ph.D nyingine ya heshima, Je wajua mtu kutunukiwa Ph.D ya heshima, hakumfanyi mtunukiwa kuitwa Dr. as an official title? Ila ni rukhsa kuitwa Dr...
  2. Konde Gang fafanueni aliko Ibraah

    Kijana Ibraah tangu ajiunge Konde Gang kama vile yupo shimoni. Alivuma kwa kasi na kupotea, hivi sasa hajulikani aliko, shabiki zake hawajui hali ya kipaji chake pengine kinapotea ama lah. Konde Gang yapi yanayowasibu mpaka inafikia hatua ya kijana wetu kupotea kimuziki. Ikiwa lebo yenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…