Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura
Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo
Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio...
Hili suala la raia wote kupiga kura kuchagua viongozi halijakaa sawa, naona kama lina madhara mengi na makubwa zaidi kuliko faida kwa sababu kuna watu wengi wanapiga kura lakini hawaelewei uzito wa kura yenyewe hivyo sio rahisi kwao kufanya maamuzi sahihi. Matokeo yake watu wa aina hii wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.