Simu yangu ilileta shida kidogo nikaenda kwa fundi simu kunibadilishia system charge yangu ya Google pixel akanipiga 25,000/= nikasema nianze kumuuliza maswali mengi jamaa hakua na hiyana, kwanza alinambia kanunua nyumba ya million 18, kwa mwezi hakosi million moja kama faida, alinambia na...