habari zenu wadau yeyote anayefahamu faida za hizi mambo manake nimeanza kutumia ashagwandha(Mmea unaokua huko india) nilikua natatizo la Depression na anxiety kuna daktari akanishauri nitumie Ashagwandha itanisaidia kuna ukweli wowote juu hizi capsules manake nimejarbu kupita pita huko Youtube...