Lakini kubadili formula ya kikototoo ambayo ilikuwa inazidishwa kwa 1/540 na sio hii ya 1/580 ya sasa
Ni sawa na kumuongezea mtu shs 5,000 hafafu uchukue shs 4000, maana yake umemuongezea shs 1000
Au niseme;
Wangesema tu wale wa 25% watapanda wafike 27% na wale wa 33% watapanda wafike 35%...