Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu mambo mema ambayo wametendewa na Mungu, cha kushangaza wengi walianza kushukuru kwa kupewa uhai.
Mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uhai una faida yeyote kwa aliyeumbwa na kupewa kinachoitwa uhai. Hata ingetokea asingepewa huo uhai hakuna hasara yeyote angepata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.