faida za uhai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama kuna mtu ananufaika na huu uhai basi ni huyo aliyetuumba!

    Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu mambo mema ambayo wametendewa na Mungu, cha kushangaza wengi walianza kushukuru kwa kupewa uhai. Mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uhai una faida yeyote kwa aliyeumbwa na kupewa kinachoitwa uhai. Hata ingetokea asingepewa huo uhai hakuna hasara yeyote angepata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…