Urefu wangu, mita 1.8x
Haya mambo nilikuwa nayachukulia poa sana nilidhani ni kawaida kwa kila mtu ila nimekuja kuyajua baadae sana
- Wale vibaka wa kumendea kuiba simu sijawai kusogelewa nao, nilikuwa nikisikia hizi story nadhani labda napita njia tofauti
- Watu hawapendi kuanzisha ugomvi...