Komamanga ni mojawapo ya matunda yaliyodumu duniani kwa karne nyingi sana, kisayansi huitwa Punica granatum.
Virutubisho
Huwa na muunganiko mkubwa wa kemikali za phenolics, flavonoids, ellagitannins, na proanthocyanidin, pamoja na madini ya potassium, calcium, phosphorus, magnesium na sodium...