faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

    SABAYA FOR CHANGE (S4C) Another day, better than Yesterday. Katika simu na jumbe nyingi nilizopokea swali lililojirudia mara nyingi ni "Iwapo Sabaya anashtakiwa na Serikali, je nyinyi mliosimama kwa upande wa sabaya mmeamua kupambana na Serikali?" UFAFANUZI WA KWANZA: Well, Hatupambani na...
  2. JamiiForums Tanzania Jiajiri kwa mtaji chini ya Shilingi 50,000 na utengeneze faida mpaka 20,000 au zaidi kwa siku

    Habari ya leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku,leo nna vitu 7 natamani kuwashirikisha vijana wenzangu wanao hitaji kujikwamua katika hari ya maisha duni tuliyo nayo. katika mambo haya muhimu ni bidii na kujitoa ndo njia pekee itakayo kuinua toka chini mpaka viwango vya juu kulingana na...
  3. JamiiForums Tanzania Mjadala wa kitaifa: Tuziainishe faida na hasara za uraia-pacha (dual citizenship) kwa Tanzania yetu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na mijadala kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha. Wapo wanaopendekeza Tanzania kama nchi ikubali uwepo wa uraia pacha ili kuzipata faida zitokanazo na uraia wa aina hiyo. Wapo wenye mtazamo kuwa muda wa Tanzania kuwa na uraia pacha bado haujafika. Hivyo basi...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

    Huu ni wito kwa Tuzo za BET zinazoendeshwa na kutayarishwa na Black Entertainment Television (BET) kumzuia Diamond Platnumz kushiriki tuzo. Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others Hadi 8/6/2021 saa 02;00 Asubuhi, 19,566 have signed. Let’s get to 25,000...
  5. JamiiForums Tanzania Faida nilizozipatakwa kupanda migomba michache kuzunguka nyumba yangu

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mwaka jana mwezi wa kwanza nilipanda migomba kama 30 katikaeneo la nyumbani napoishi. Kabla ya kupanda niliwauliza wataalamu hasa watu wanaotokea maeneo ambayo wanalima sana ndizi kama Moshi, Bukoba na Tukuyu kujua aina za ndizi na matumizi yake na namna ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni faida gani Tanzania imepata tangu ianzishe uhusiano wa kidiplomasia na Israel?

    Wakati kukiwa na suala la kuanzisha uhusiano na taifa la Israel, wengi walitoa maoni kwamba msimamo wa kiitikadi wa Tanzania ni kutoshirikiana na mataifa ambayo yanakandamiza jamii fulani ya watu na kukiuka haki zao za binadamu. Na hata tulisema kiitikadi tunaunga mkono jitihada za Wapalestina...
  7. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ndege aina ya bundi una faida sana

    Bundi ni ndege kama ndege wengine, wengi hawajafahamu faida zinazopatikana katika ufugaji wa ndege hawa. Soko la bundi ni kubwa kuanzia kwenye mayai, ndege wenyewe. Soko kubwa la ndege hawa liko Afrika.
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Makinikia yameanza kusafirishwa tena?

    Wakuu, Kwa niliyayona jana na juzi sitasalimia naenda moja kwa moja kwenye maandiko yangu. Nilisafiri kwenda kijijini mara moja kwenda kutafuta mazao kwani wakulima nikafika kijiji kimoja kinaitwa Ilogi huku Kakola mkoani Shinyanga. Nikiwa katika mizunguuko nikakuta malori haya makubwa Semi...
  9. JamiiForums Tanzania Faida tutakazopata kama tukitumia vizuri utajiri wa Makabila

    UTAJIRI WA MAKABILA TUKIUTUMIA VIZURI... Tuna zaidi makabila 120. Iwapo: - Tutajikita kuandika vitabu vinavyoelezea historia na tamaduni za kila kabila, tutajikuta tuna zaidi ya vitabu 120 vya kuuzwa ndani na nje ya nchi. - Tutajikita kuandika kamusi za kila kabila tutajikuta tuna kamusi...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo faida itakazopata Geita endapo Chato itajitoa na kuwa Mkoa mpya

    Licha ya Chato kuwa Mkoa ni nafasi ya upendeleo ebu tuangalie faida tutakazo zipata sisi wana Geita. 1: Tunahitaji kiwanja kipya cha Ndege kujengwa mkoani Geita kwa kuwa Geita tutakuwa hatuna kiwanja cha Ndege. 2: Kama tunavyojua Timu yetu ya Geita Gold FC rasmi imeingia ligi kuu. Hivyo...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki ya KCB yazidi kupata faida

    KCB Group Plc recorded 1.8 percent growth in net profit for the three months period to March 31 amid the adverse effects of the Covid-19 pandemic. The regional lender, which is listed on the Nairobi Securities Exchange (NSE), increased its profit after tax (PAT) to Ksh6.37 billion ($59.53...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki ya Equity yazidi kupata faida

    Equity Group Holdings Plc. has rebounded to their pre-Covid-19 period performance with a 64 percent jump in net profit for the three months to March 31. This was buoyed by significant growth in non-interest income and reduction in loan loss provisions with regional subsidiaries, apart from...
  13. JamiiForums Tanzania Lifahamu Vumbi la Congo: Historia, Matumizi, Faida na Hasara zake

    Vumbi hili lina majina mengi sana nayo ni Kasongo, Mundende, putururu, Mpesu, nk. Vumbi hili si vumbi kama vumbi la stoo, barabarani, shambani nk. Hili ni vumbi linalotokana mizizi au Magome ya Mti unaitwa MPESU au Violet tree (kitaalam unaitwa Securidaca Longipedunculata) Basi mti huo husagwa...
  14. JamiiForums Tanzania Zipi faida za kusafirisha Full Container au Loose cargo from China?

    Nimekuja tena kwenu wana jamvi naomba msaada wa kujua zipi ni faida za kusafirisha mzigo kama full container au Loose cargo kutoka China au Nchi za Wenzetu. Moja kuhusu gharama za usafirishaji. Pili kuhusu mambo ya bandarini mzigo ukifika. Nakukaribisha kwa mjadala. CC Top leader
  15. JamiiForums Tanzania Faida za kuvaa Soksi

    1.KUZUIA MAGONJWA YA NGOZI MIGUUNI. Tumia sekunde tatu tu kuvaa soksi na ujikinge na maradhi haya ya fungus na bacteria, kama sio mpenzi was soksi nashauri ufikirie tena maamuzi yako ya kutovaa soksi. 2.EPUKA HARUFU MBAYA YA MIGUU Image result for atletes foot Kwa kweli hii ni kero kwako na...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeweza kuwekeza kwa mtaji wa milioni 50 na kupata faida ya hadi milioni 70

    Ndugu wadau habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nipo Geita najishughulisha na biashara ya madini ya dhahabu offisi ni ya watu so Mimi ni msimamizi na wakati mwingine natoa ushauri pale inapobidi, ili kazi iwe yenye tija zaidi. Kwa upande wangu huwa tu nalipwa...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kutajiwa faida za dini

    Mpaka sasa nafikisha miaka 43,nimeijua moja tu,nayo ni kusaidia kwenye elimu, nje ya hapo sijaona. Hapa nazungumzia UKRISTO NA UISLAMU.
  18. JamiiForums Tanzania Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

    Habarini wana jamvi, ninapenda kuwashirikisha jambo ambalo nililiona huko mkoani Iringa, wilaya ya Mufindi. Mwezi march mwaka huu 2021, nilienda kijijini kwetu huko mufindi, nikabahatika kumtembelea ndugu mmoja shambani kwake. Shamba lake la parachichi lenye ukubwa wa ekari 15, lakin sehemu...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Wazazi wa leo ni kama huyu je, tuendelee Kuwekeza katika Elimu za Watoto wetu ili waje kuwa na Maendeleo yao na Faida kwa Taifa?

    Leo nimedokezwa kuwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wanafanya Mtihani wa Moko sijajua kama ni kwa Taifa zima au labda ni kwa baadhi ya Shule tu. Nikiwa katika zunguka zunguka yangu nimekutana na Mzazi Mmoja wa Kike akifanya Tukio moja ambalo kutokana na kwamba namjua vyema lakini limenishtua pia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona ina umuhimu sana, Awamu ya tano ilikosea kwa kutotambua umuhimu wa sayansi

    Faida ya chanjo imezirudisha nchi nyingi hasa za Ulaya, China, USA, CANADA, SOUTH KOREA ETC katika uchumi wao wa kawaida. Yaani wanaitwa nchi zilizoendelea. Wananchi wao wamepata chanjo na sasa hawana tena hofu na ugonjwa wa CORONA. HUDUMA ZA JAMII, STAREHE, N.K ZIMERUDI KAMA KAWAIDA. Hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…