fainali afcon

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ivory Coast hiyoooo Nusu Fainali AFCON kwa kuifunga Mali magoli 2-1

    Licha ya Timu ya Taifa ya Ivory Coast kucheza pungufu kuanzia kipindi cha kwanza dhidi ya Mali katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika, bado hiyo haikuwa kikwazo cha kuingia Nusu Fainali kwa kushinda magoli 2-1, Februari 3, 2024. Ivory Coast ilimpoteza Odilon Kossounou aliyepata kadi...
  2. Taifa stars kubeba milioni 500 ikifuzu fainali AFCON

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali itatoa kiasi cha Shilingi Milioni 500 endapo timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) itafuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa Barani Afrika (AFCON) mwaka 2024 nchini Ivory Coast. Akizungumza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…